Uchaguzi
mkuu katika jimbo la Shinyanga mjini umeingia dosari baada ya wagombea wa
ubunge wa upinzani Chadema na APPT Maendeleo kutoka katika ukumbi wa kuhesabu
kura na kutangazia matokeo kwa madai kuwa uchaguzi huo ulikuwa umegubikwa na
rushwa,vitisho na udanganyifu wa hapa na pale hali ambayo wamesema kwa vyovyote
vile matokeo haya wezi kuwa halali..na sasa kinachoendelea ni kwaba kura
zinahesabiwa upya kwa vituo vyote 275…
Mgombea ubunge wa Ukawa/Chadema Patrobas
Katambi ameondoka eneo la kutangazia matokeo na wafuasi wa Chadema.Askari
polisi wapo wa kutosha mtaani na eneo la tukio
No comments
Post a Comment