Wanachopinga wabunge hao wanadai hawamtambui Dk Shein Kama Rais Halali wa Zanzibar.
Hali hiyo ilianza pale Naibu spika alipomuita Mwanasheria Mkuu wa Serikali Kutengua Kanuni ili Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wameze Kuongozana na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Magufuli wakati atakapokuja Kulihutubia Bunge na Kulizindua Rasmi ,Wabunge hao waliaanza Kupiga kelele Mara Baad ya Kutangazwa kuingia kwa Spika wa Baraza la Wakilishi Zanziba,Makamu wa Pili wa Rais ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
awali akilihutubia bunge Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk. John Magufuli ameelezea vipolo vyote atavyoatatua hapa nchini na kuifaya Tanzania kufikia malengo yake huku akilaani kitendo cha zomea zomea kilichofanywa na wapinzani.
Akilihutubia bunge leo mheshimiwa Dr. John Pombe Magufuli amesema kuwa Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na suala la Katiba mpya ambayo amekili kuachiwa kiporo hivyo ataifanyia kazi ili kuikamilisha.
Baada ya Rais kuingia Bungeni hali ilikuwa ni ya kelele na kuzomeazomea kwa wabunge wa upinzani jambo lililomfanya spika wa bunge Mh. Job Ndugai kutumia mamlaka ya kikatiba kuwatoa wabunge hao nje ya bunge.
Wabunge wa Upinzani katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Watanzania wamefikia hatua hiyo ya kuzomea mara baada ya Kutangazwa Kuingia kwa Rais wa Zanzibar Mh Dk Ali Mohamed Shein wakidai hawamtambui Dk Shein Kama RaisHalali wa Zanzibar.
Akimalizia hotuba yake Rais Magufuli amewataka
wapinzani kuungana na serikali na kuwa kitu kimoja kwani kwa kuzomea ndani ya
bunge ni jambo la aibu na kuhitaji uvumilivu katika tukio hilo kwani watanzania
wamewaona wabunge waliowachagua hivyo kuwapima kama wanaweza kuwaongoza hata
baada ya miaka mitano.
Rais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk. John Magufuli anaelezea
kuwa mambo yote vipolo atayatatua na kuifaya Tanzania kufikia malengo
yake.
Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na suala la Katiba mpya ambayo amekili kuachiwa kiporo hivyo ataifanyia kazi ilikuikamilisha.
Suala la Muungano anaahidi kulifanyia kazi na kulitatua.
Baada
ya Rais kuingia Bungeni hali ilikuwa ni ya kelele na kuzomeazomea kwa
wabunge lakini upepo huo ulitulia..Wabunge wa Upinzani katika Bunge la
Jamuhuri ya Muungano wa Watanzania Wanazomea Bungeni mara baada ya
Kutangazwa Kuingia kwa Rais wa Zanzibar Mh Dk Ali Mohamed Shein.
Wanachopinga
wabunge hao wanadai hawamtambui Dk Shein Kama RaisHalali wa
Zanzibar.Hali hiyo ilianza pale Naibu spika alipomuita Mwanasheria Mkuu
wa Serikali Kutengua Kanuni ili Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar wameze
Kuongozana na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Mh Magufuli wakati atakapokuja Kulihutubia Bunge na Kulizindua Rasmi
,Wabunge hao waliaanza Kupiga kelele Mara Baad ya Kutangazwa kuingia kwa
Spika wa Baraza la Wakilishi Zanziba,
Makamu wa Pili wa Rais ya
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Pamoja na Rais wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
Hizi ni kauli za mh.rais Dokta John Pombe Magufuli>>
https://www.hulkshare.com/2wzopsctsz1c
No comments
Post a Comment