January 27 2016 kikao cha Bunge kimeendelea Dodoma, yakaanza maswali na majibu kwa Mawaziri wa Serikali… baadae Waziri Nape Nnauye akatangaza kwamba kumekuwa na gharama kubwa sana TBC1 kurusha Live kikao cha Bunge kwa hiyo Bunge halitoendelea kurushwa, litarekodiwa na kurushwa usiku.
Hoja ya Waziri ikapelekea baadhi ya
Wabunge kuamua kutoa hoja zao wakisisitiza kwamba hawakubaliani na suala
hilo, Bunge likaahirishwa.
Bunge likaanza tena saa kumi jioni na baadhi ya Wabunge wakaendelea na msimamo wa kutotaka hoja ya TBC1 kutorusha matangazo ya Bunge Live, ikabidi Askari waingie ndani kutuliza hali hiyo.
baada ya kutokea tafrani hiyo, mbunge wa kigoma mjini Mh.Zitto Kabwe ali tweet haya maneno:.
Hoja ya gharama ni hoja dhaifu sana katika kuzuia mikutano ya Bunge kurushwa 'live'. Demokrasia ni gharama
Policemen, in uniform and commandos in plain cloths, were sent into the house and forcefully took legislators out. Never witnessed this
No comments
Post a Comment