Taarifa ambayo imeenea katika mitandao ya kijamii na baadhi ya mitandao ya habari za michezo ya England ni kuhusiana na kiungo wa kimataifa wa Nigeria anayeichezea KRC Genk ya Ubelgiji Wilfred Ndindi kuripotiwa kukaribia kujiunga na Leicester City January 1 2017.
Stori kutoka express.co.uk inaripotiwa kuwa Ndindi tayari amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na Leicester […]
No comments
Post a Comment