Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » YANGA SC VS NDANDA FC PALE UHURU, MTIBWA SUGAR VS VS WANALIZOMBE MAJIMAJI TULIANI LEO VPL NI KUBWA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara inaendelea leo kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja viwili tofauti macho na masikio ya wapenda soka yapo Dar es salaam.

Baada ya kulazimishwa sare ya kufungana goli 1-1 na African Lyon, Mabingwa watetezi Yanga watakuwa kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam kuwavaa wababe toka Mtwara timu ya Ndanda FC na kule Morogoro Mtibwa Sugar watakuwa wenyeji wa Majimaji katika uwanja wa Manungu Turiani.

Kikosi cha Ndanda FC kimeendelea na mazoezi yake ya mwisho hapo jana kabla ya kuivaa Yanga, leo huku wakionekana wako fiti wakisubiri mechi hiyo.
 
Katika mazoezi hayo, Wachezaji wa Ndanda FC  walionekana ni wenye morali na walio tayari kwa ajili ya mechi hiyo na wakijivunia rekodi dhidi ya Yanga kwani Tangu wapande ligi Kuu hawajawahi kupoteza mchezo hata mmoja wakiwa wanacheza na Yanga iwe Dar au Mtwara hivyo mechi itakuwa ngumu kwa pande zote mbili.
 
Kwa upande wa Yanga chini ya Kocha Lwandamina anajua mechi haitakuwa laini. 

Kikosi chake kimeendelea na mazoezi kwa umakini mkubwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 
Yanga wanajua wana deni, hasa baada ya kuambulia sare katika mechi iliyopita dhidi ya African Lyon, watataka kushinda mechi ijayo huku wakijua yakuwa hawana rekodi nzuri mbele ya wamakonde hao.
 
About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / YANGA SC VS NDANDA FC PALE UHURU, MTIBWA SUGAR VS VS WANALIZOMBE MAJIMAJI TULIANI LEO VPL NI KUBWA

No comments :