Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MAN CITY IMEIBUKA NA HUYU HAPA KATIKA USAJILI HADI SASA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Klabu ya Manchester United imefanya usajili wake wa kwanza kwa mwaka 2016 kwa kumpa mkataba kiungo Anthony Caceres kutoka klabu ya  Central Coast Marinersiliyopo Australia ikiwa ni mkataba wa siri.
Uongozi wa Klabu ya Australia umetangaza leo asubuhi kuwa wamekubaliana kiasi cha pesa kutoka klabu ya Man City ili kumruhusu mchezaji wao mwenye miaka 23.
Kocha mkuu wa Mariners Tony Walmsley alimsajili Caceres mwaka 2011 na kusema amefurahishwa na mchezaji huyo kupata timu kubwa kama Man City kwa ajili ya kuinua kipaji chake.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MAN CITY IMEIBUKA NA HUYU HAPA KATIKA USAJILI HADI SASA

No comments :