Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WATU WAPATAO 40 WAPOTEZA MAISHA SOMALIA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kiasi  ya  watu  40 wameuwawa  baada  ya  kundi  la wanamgambo  wa  Kiislamu  la  al-Shabaab  kuivamia kambi  ya  jeshi  la  kulinda  amani  ya  Umoja  wa  Afrika kusini  magharibi  ya  Somalia  mapema  leo.
Wengi  wa  waliouwawa  katika  shambulio  hilo katika kambi  hiyo  iliyoko  katika  kijiji  cha  El-Adde  katika  jimbo la  Gedo  ni  wanajeshi  wa  Kenya  walioko  katika  jeshi  la AU.

Mohammed Hussein Al_qadi , naibu  gavana  wa  jimbo  la Gedo  ameliambia  shirika  la  habari  la  Ujerumani  DPA kwamba  ni  shambulio  kubwa  kufanywa  na  al-Shabaab wakitumia  washambuliji wanne  wa kujitoa  muhanga katika  gari.

Kamishina  wa  mji  wa  El-Adde , Ali Abdi , ameliambia shirika  la  dpa  kwamba  wanajeshi  kutoka  Kenya  na Somalia  pamoja  na  wapiganaji  wa  kundi  la  al-Shabaab wameuwawa  katika  shambulio  hilo.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WATU WAPATAO 40 WAPOTEZA MAISHA SOMALIA

No comments :