Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WAFANYABIASHARA SOKO LA SABASABA DODOMA WAWAWEKA KITOMOTO WATENDAJI WA SERIKALI WANAOUZA NYUMBA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

                                                   Na Peter Mkwavila,Dodoma.

WAFANYABIASHARA wa Soko la Sabasaba Mkoani Dodoma wamemtaka Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Willium Lukuvi kuwafuta kazi watendaji wa Serikali kutokana na kuuza nyumba za serikali.

Wakizungumza na Mwandishi wa mtandau huu ,mjini hapa walisema wamekuwa wakifanya biashara katika soko hilo kwa muda mrefu lakini wanashangaa kuambiwa baadhi ya majengo ya Serikali kuuziwa mtu binafsi.

Walisema jengo hilo lilikuwa likimilikiwa na Wizara ya Afya kwa muda mrefu lakini wanashangaa Serikali kumuuizia mtu binafsi kwa ajili ya kufanyia mambo yake.
Akizungumza kwa niaba ya Wafanyabiashara wenzake,Huseini Michuzi alisema  kwa muda mrefu wapo katika eneo hilo lakini wanashangaa Serikali kuwataka kuhama wakidai eneo hilo sio halali kwao.
‘’Hili ni soko hapa tunafukuzwa tupo zaidi ya watu 15,tunaambiwa hili eneo kauziwa mtu binafsi,sasa tunajiuliza mtu binafsi anaweza kuuziwa mali ya Serikali tunamuomba Waziri Lukuvi awafute kazi kwani wameuza mali za serikali’’alisema
Naye Mwenyekiti wa Soko hilo,Athumani Makole alisema alipokea malalamiko ya wafanyabiashara 15 wakitakiwa kuhama katika eneo hilo ambalo linadaiwa ni mali halali ya Solomoni Munuo.
‘’Lile eneo lilikuwa likimilikiwa na Wizara ya afya kwa ajili ya maonesho ya nane nane,baadae ofisi ya Mkuu wa Mkoa ilitupa maelekezo kuwa ni eneo la walemavu sasa tunashangaa Munuo kudai ni eneo lake’’alisema

Akizungumza katika eneo hilo kwa uapnde wake Munuo alisema eneo hilo ni mali yake alikabidhiwa kihalali na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) kwa kushirikiana na Manispaa baada ya kuona jengo hilo halitumiki.
Nipashe ikizungumza na Afisa Masoko wa Manispaa ya Dodoma,Steven Maufi,alieleza kuwa kutokana na vielelezo vilivyo  eneo hilo ni mali ya Solomon Munuo hivyo kuamua kuwatoa wale waliombele ya nyumba hiyo.

    ‘’Hilo ni eneo halali la Munuo ndio maana tukaamua kuwaondoa wafanyabiashara walio      mbele yake lakini pia wamekuwa wakisababisha uchafu kutokana na kumwaga chini takataka’’alisema

Mwisho
 
About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WAFANYABIASHARA SOKO LA SABASABA DODOMA WAWAWEKA KITOMOTO WATENDAJI WA SERIKALI WANAOUZA NYUMBA

No comments :